Asante kwa kutushirikisha changamoto unazopitia katika ufugaji wa kuku πŸ”

Avatar: Official post Official post

Changamoto ambazo zimetajwa mara nyingi ni uhaba wa chakula cha kuku 🍽️, bei kubwa za chakula cha kuku πŸ’Έ, uhaba na gharama kubwa za dawa za kuku πŸ’Š na chanjo πŸ’‰, pia magonjwa πŸ€’, vifo na ukosefu wa masoko πŸ›’.

QR Code

JamiiHub's official logo

Asante kwa kutushirikisha changamoto unazopitia katika ufugaji wa kuku πŸ”

QR Code

0 comments

Loading comments ...