MAHITAJI YA CHAKULA CHA SIKU KWA KUKU 100 πŸ”

Avatar: Official post Official post

πŸ“… 0 - 8 wiki = 🐣 6 kg za chakula cha vifaranga πŸ“… 9 – 16 wiki = πŸ₯ 9 kg za chakula cha wanaokua πŸ“… 17 - 19 wiki = πŸ“ 10-11 kg za chakula cha wanaojiandaa kutaga πŸ“… 20 wiki na kuendelea = πŸ₯š 12-13 kg za chakula cha kuku wanaotaga ⚠️ Angalizo: Ni muhimu kufuata ratiba ya ulishaji wa kuku wako kwa usahihi ili uweze kuepuka kulisha kuku wako kwa hasara. πŸ“Œ Ratiba hii ni kwa kuku chotara na wa mayai tu.

QR Code

JamiiHub's official logo

MAHITAJI YA CHAKULA CHA SIKU KWA KUKU 100 πŸ”

QR Code

0 comments

Loading comments ...